OIKO CREDIT KUONGEZA MIKOPO KWENYE KILIMO NA NISHATI ENDELEVU




Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya OIKO Credit Duniani David Woods akiongea na waandish wa habari (hawapo pichani) kuhusiana na Taasisi y a oiko kuongeza mikopo kwenye sekita ya Kilimo na nishati endelevu hapa nchini wakati alipotembelea katika ofisi za Oiko Credit zilizopo jijini Dar es Salaam,Kushoto ni Mkurugenzi wa Oiko Kanda ya Afrika Mashariki Judy Ngarachu na kulia ni Meneja wa taasisi hiyo hapa Tanzania Deus Manyeynye.






Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya OIKO Credit Duniani David Woods akimkabidhi Devota Elias fedha ambaye ni mmoja wa wanachama wa kikundi cha Aple ambacho kimenufaika na mikopo ya shilingi million 8 toka kwa taasisi ya Oika Credit ,anaye shuhudia katikati ni Meneja wa taasisi hiyo hapa Tanzania Deus Manyeynye. Mkurugenzi huyo yopo katika ziara ya kikazi hapa nchini kujionea jisi shughuli za taasisi hiyo inavyoendeshwa.


Mkurugenzi wa Oiko Kanda ya Afrika Mashariki Judy Ngarachu akimkabidhi fedha Jane Mlay ambaye ni mmoja wa wanachama wa kikundi cha Aple ambacho kimenufaika na mkopo ya shilingi million 8 toka kwa taasisi ya Oika Credit nchini katikati ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya OIKO Credit Duniani David Woods , Mkurugenzi Mtendaji wa Tujenge Tanzania Limited Shafi Nambobi na Meneja wa taasisi hiyo hapa Tanzania Deus Manyeynye. Mkurugenzi huyo yopo hapa nchini kwa ziara ya kikazi hapa kujionea jisi shughuli za taasisi hiyo zinavyoendeshwa.
  • Love
  • Save
    Add a blog to Bloglovin’
    Enter the full blog address (e.g. https://www.fashionsquad.com)
    We're working on your request. This will take just a minute...