Wanaharakati wa upinzani waomba hifadhi ya Umoja wa Mataifa baada ya watu kama 90 kuuwawa
Mohammed Mursi anatarajiwa kuchuana na Waziri Mkuu wa zamani Ahmed Shafiq katika raundi ya pili
Afrika Kusini, Australia na New Zealand zimeafikiana kujenga darubini kubwa zaidi duniani.
Wiki tisa zimebaki kabla ya michezo ya olimpiki kuanza
Mkuu wa haki za binadamu Navi Pillay anasema vikwazo vya sasa ni kero kwa masikini
Wanajeshi wa Muungano wa Afrika nchini Somalia wameuteka mji mihumu karibu na jiji kuu Mogadishu baada ya wapiganaji wa Kiisilamu kuondoka eneo hilo.Mji wa Afgoye umekua ngome kuu ya kundi la Al-Shab...
Blatter ataka mbinu mpya kuamua matokeo sare
Hatua hiyo imechukuliwa baada ya kufungwa kwa Daktari Shakil Afridi aliyesaidia CIA kumnasa Osama bin Laden
Mikasa na Vituko Duniani Wiki Hii
Huenda akawa meneja wa Liverpool
Mhakama ya kimataifa inayosikiliza kesi za jinai imepinga rufaa ya Wakenya wanne mashuhuri wanaokabiliwa na tuhuma za kuchochea ghasia baada ya uchaguzi wa mwaka 2008.
Google Chrome yawika kwa kupendwa na watumizi wa tovuti wengi
Gray Connery ameruka kwa bila parachuti kwa umbali wa mita mia saba na thelathini huku akisafiri mwendo wa maili themanini
Raia wamejitokeza kupinga mchoro
Wigan yataka afanye uamuzi haraka
Mzozo sasa una sura ya kijeshi
Mtoto huyu alionekana kwenye kamera za CCTV akiendesha pikipiki ya kuchezea kwenye barabara kuu kwenye mji wa Wenzhou Uchina
Shirika la (WHO) linatazamia kutangaza maradhi ya kupooza au Polio kama maradhi yanayopaswa kushughulikiwa kwa dharura
Mwendesha mashtaka mkuu Fatou Bensouda anasema wababe wa kivita wanawatisha viongozi wa Afrika
Mamilioni ya wapiga kura wamejitokeza kuchagua rais baada ya mapinduzi yaliolenga kuleta demokrasia nchini Misri
Wanajeshi wa AU na wale wa serikali ya mpito ya Somalia wanaendelea mashambulio yao dhidi ya wapiganaji wa Al Shabaab, Afgoye.
Zaidi ya wachimba migodi 35 haramu wamekwama kwenye mgodi nchini Afrika Kusini, watatu kati yao wakifariki.
Daktari huyo aliyetuhumiwa kwa kosa la kuwasaidia maafisa wa ujasusi wa Marekani CIA kumsaka Osama Bin Laden amefungwa miaka 30
Unachohitaji kujua kuhusu uchaguzi wa Misri
Wapiga kura wanajitokeza kwa siku ya pili kuchagua rais miezi 15 baada ya mapinduzi ya utawala wa Hosni Mubarak
Mmoja kati ya wanaume wawili walioshtakiwa kwa kumuua Eugene Terreblanche mwaka 2010 Chris Mahlanga apatikana na hatia.
Baada ya miaka 8 Stamford Bridge
Mkuu wa zamani wa jeshi la Sri-lanka Sarath Fonseka aliyeachiliwa kutoka gerezani hiyo jumatatu ameishauri nchi yake kushirikiana na wachunguzi wa kimataifa wanaochunguza madai ya uhalifu wa kivita n...
Mchoro unaoonyesha uume wa rais wa Afrika Kusini Jaocb Zuma ukiwa nje, umeharibiwa kwenye jumba la maonyesho mjini Johannesburg
Polisi wameimarisha doria huku maelfu ya wazungu wakisubiri hukumu ya vijana Waafrika wanaotuhumiwa kumuua Eugene Terreblanche
Du abonnerer ikke længere på . Fortryd?