Hali ya hatari imekuwa ikitumika nchini Misri kwa miongo mitatu. Iliyapa majeshi madaraka ya kupindukia kwa kuwakamata washukiwa.
Mikasa na vituko duniani wiki hii
Mji wa Afmadow umekuwa chini ya Al shabaab na karibu sana na bandari ya Kismayo
Galaxy S 3 tayari sokoni Ulaya na Mashariki ya Kati
FIFA kuunda idara ya upelelezi
Mapatano ya kufidia Swansea kwa kocha Rodgers
Biram Ould Obeidi ameongoza kampeini kupinga utumwa na kuchoma vitabu vya kidini kwa kuunga utumwa
Wakataliwa kuonana na watetezi wao
Mhandisi wa Kijerumani aliyetekwa mwezi Januari mwaka huu kaskazini mwa Nigeria ameuawa katika jaribio la kumuokoa lililotibuka. Mhandisi huyo Edgar Fritz Raupach alitekwa nyara kati mji wa Kano
Kenya na Malawi kucheza katika uwanja huo
Waasi wameipa serikali muda wa saa 48 kuondoa majeshi yake la sivyo wataachana na utekelezaji wa mpango wa amani wa kimataifa.
Mario Balotelli amesema ataondoka uwanjani endapo kutatokea kejeli za rangi Ukraine na Poland
Wanajeshi hao wameondoka wakati nchi mbili, Sudan na Sudan Kusini zikianza mazungumzo ya amani, Ethiopia
Rais wa zamani nchini Liberia Charles Taylor amehukumiwa miaka 50m jela na makahakama ya kimataifa ya uhalifu wa kivita. Mwezi jana Taylor alipatikana na makosa ya kuwaunga mkono waasi nchini Sierra ...
Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu wa Kivita mjini The Hague inatarajiwa kutoa hukumu dhidi ya aliyekuwa rais wa Liberia Charles Taylor.
Afisa mjini Vatican amesema kuvuja kwa nyaraka za siri za kiongozi wa kanisa Katoliki ni ukatili dhidi ya Papa Benedict.
Msafara wa Rais Sheikh Sharif Sheikh Ahmed ulilengwa akiwa ziara mjini Afgoye
Ntaganda ambaye anasakwa na ICC amesema katu hapati msaada wa Rwanda
Mgombea wa Mrengo wa Muslim Brotherhood Mohammed Mursi ameahidi kujumuisha pande zote za kisiasa,wakiwemo wanawake
Ufaransa, Uingereza, Ujeremani, Italia, Hispania Canada na Australia zimethibitisha kuwafukuza mabalozi hao wa Syria.
Watetezi wa maslahi ya watoto Barani Afrika wanasema idadi ya watoto wa Kiafrika wanaoasiliwa katika mataifa ya kigeni imeongezeka kwa kiasi kikubwa.
Mazungumzo hayo yamekuja kufuatia ushawishi wa kidiplomasia na kitisho kutoka Umoja wa Mataifa
Waandamanaji nchini Misri wameshambulia makao makuu ya mgombea urais Ahmed Shafiq, mjini Cairo.
Ataichezea Chelsea miaka minne
Polisi nchini Kenya inasema mlipuko uliojeruhi watu 33 katika mji mkuu Nairobi unaweza kuwa umesababishwa na bomu
Viongozi wawili wa kundi la Uamsho waliokuwa wanashikiliwa na polisi wa Zanzibar pamoja na wafuasi wao wameachiwa kwa dhamana
NATO yajitayarisha kuondoka Afgahanistan swali kuu ni, je watawezaaje kuondoa vifaa na vikosi 100,000 ?
Msimamo wa Urussi wazua masuala
Gazeti la Afrika Kusini lililoweka hadharani picha ya utata unaoonyesha sehemu za siri za Rais Jacob Zuma limeutoa kwenye wavuti
Mlipuko umetokea katika mji mkuu wa Kenya, Nairobi na kusababisha watu kadhaa kujeruhiwa huku majengo majengo yakiwa yanawaka moto
You are no longer following . Undo?