MY WEDDING//HARUSI YANGU

Kila mwanamke huwa anaiwaza harusi yake na kufikiria nini anataka kiweje na vipi anataka iwe,(hata akiwa hana hata mchumba) nimeanzisha hii post ya MY WEDDING/HARUSI YANGU kwa yeyote awazaye harusi yake VP ANATAKA IWE NINI ANAWAZA KIWE awe ananirushia picha chochote kihusucho harusi Anachopishana nacho iwe pichani hata mawazoni na vp angependa iwe, ukizingatia Kijiwe hiki maharusi wengi hupita kutapa idea ni katika wigo wa kupanuana mawazo tunilianza na PETE ,CAKE ZILIZOPITA CHUNGULIA TUANGALIE : NIGERIAN TRADITIONAL CAKE

  • Love
  • Save
    Add a blog to Bloglovin’
    Enter the full blog address (e.g. https://www.fashionsquad.com)
    We're working on your request. This will take just a minute...