NATURAL HAIR 'kijinja' ::MAY


YES DR MAY NI #TEAMNATURALHAIR KUTOKA TZ, NA ANASEMA ALIANZA FUGA NYWELE ZAKE TANGU MWAKA 2010 NA LEO NDO KAMA MNAVYOZIONA, NATAMANIJEE, YAANI, HAPA NILIPO SITII TENA DAWA, WACHA NIJARIBU KAMA NTAWEZA, NAWAZA KUZICHANA TU ;)

safari yake ilianzia hapa.... nimependa alivotupia na turangi
cheki uhair, ye ni Doctor, by proffetional,

KIZURI KULA NA WENZIO :: na anatumia shampoo na conditional ya Motion, na mafuta yale ya Uganda ya yenye sulfer na pia anatumiaga leaving conditioner ya Kinky Curl
CHUNGULIA KUONA PICHA ZAIDI

I CANT WAIT ZANGU ZIKUE NIWE NASTYLE ;)
  • Love
  • Save
    Add a blog to Bloglovin’
    Enter the full blog address (e.g. https://www.fashionsquad.com)
    We're working on your request. This will take just a minute...